Daesh ni kikundi cha dhehebu la Sunni wenye siasa kali, kikundi hichi kimetangaza vita kali dhidi ya Mashia na wanataka kutengeneza, dola la kiislamu la kisunni ambalo litakusanya nchi ya Iraq na Syria.
wanamgambo wa Daesh wanasadikiwa kudhaminiwa na Saudia Arabia na Qatar, wanamgambo hawa ndio wanaopigana na jeshi la Syria ikiwa ni moja kati ya mipango yao ya kuliangusha serikali ya Syria, sanjari na serikali ya Iraq
ili watengeneze dola hilo la kiislamu walokusudia.
kundi hili limekuwa likiua kila linayemuona ni kikwazo kwake.
Maulamaa wakuu wengine wa dhehebu la Shia wamesisitiza wananchi kujiunga na jeshi na kupambana na kikundi hicho cha magaidi cha Daesh,na wametoa fatuwa kwamba yeyote atakaye kufa katika vita hivi atakuwa Shahidi.
mamilion ya mashia wamejitolea kupambana kwa ajili ya kulinda nchi na kulinda ardhi zao tukufu.
kundi la Daesh limeaua na kuchinja watu wengi wasio na hatia hasa mashia, limebaka wanawake na bado linaendelea kufanya jinai.
13 Juni 2014 - 22:42
Msimbo wa Habari: 615794
Mwanazuon mkubwa wa Kishia wa Iraq, Ayatollah Sistan ametoa fatuwa kwa kila anayeweza kupambana, ajitolee kukabiliana na Magaid wa Daesh nchin Iraq.